Mfumo Salama wa Biashara
Mfumo wa Mauzo, Stock, Staff na Reports wa kiwango cha juu Tanzania.
Simamia maduka mengi, bidhaa, mauzo, matumizi, wateja, suppliers,
subscriptions na ripoti kwa muonekano wa kisasa, rahisi na wa kitaalamu.
POS Sales
Uza bidhaa na toa receipt
Stock Control
Fuatilia bidhaa na alerts
Smart Reports
Faida, matumizi na mauzo